KAMWE HATUTARUHUSU MTU WA NJE KUTUAMULIA MAMBO YETU! from kuja Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: ”Ninawaahidi kuwa Serikali ninayoingoza itaendelea kushirikiana nanyi (Mwl Nyerere Foundation) katika kutekeleza malengo ya taasisi yenu. Napenda kutumia fursa hii kuwaahisi kuwa nikiwa kiongozi wa sasa wa Serikali nitajitahidi kuendeleza mambo yote mazuri.. maono tukiyoachiwa na Baba wa Taifa. Lakini pia mazuri yaliyoachwa na viongozi wengine waliofuatia kuongoza Nchi ambao ni Mwinyi, Mkapa pamoja na Kikwete..ikiwemo kuimarisha Umoja na Mshikamano pamoja na kulinda Amani na Uhuru wa nchi yetu