Mpango wa Maisha (Life Plan Swahili) from vifaa Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
⏲ Duration: 14 min 13 sec ✓ Published: 03-Mar-2016
Description: Misak ni jamii asilia ambao himaya yao inapatikana Cauca, Colombia.Kama jamii asili nyingi za Latin Amerika, Misak walipoteza himaya zao nyingi katika siku za ukoloni. Katika miaka ya 1970 walianza mchakato wa kurudisha mashamba yaona walifanikiwa kupata kwa urasmi haki ya ardhi zao kutoka kwa serikali . Tangu wakati huo jamii ya Misak waliendeleza Mpango wa Maisha kama kifaa cha kuamua maendeleo kuhakikisha faida zao zitahifadhiwa kwa vizazi vijavyo. Dakika kumi na nne 23nnHimaya za Maisha -